Kimenuka tena ndani ya klabu ya Yanga ambapo wachezaji watano muhimu wa kikosi hicho wanaarifiwa kugoma kushinikiza kulipwa stahili zao. #MgomoYanga,#WatanoWagomaYanga,